Zitto na Othman wapania kuongoza dola 2025
Kigoma. Chama cha ACT Wazalendo kimeweka wazi mpango wa kuhakikisha katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, kinampa nafasi Zitto Kabwe kuwa Rais wa Tanzania na Masoud Othman kushika wadhifa huo visiwani Zanzibar. Kabwe ambaye ni kiongozi mstaafu wa chama hicho, mara kadhaa amesikika akitangaza nia ya kuwania ubunge katika jimbo la Kigoma Mjini alilowahi kuliongoza…