Mwenye namba yake anakuja, vita yabaki kwa Simba, Azam
Unaweza kusema ndani ya Simba eneo la beki wa kati mwenye namba yake yupo njiani kutua kikosini hapo baada ya klabu hiyo kufikia dau linalotakiwa na Coastal Union kwa ajili ya kumuachia Lameck Lawi. Lawi amekuwa akiwindwa na Simba kutokana na uwepo wa taarifa za mabeki wa kati wa timu hiyo, Henock Inonga na Che…