Bodi ya Ligi: Tumechukua tahadhari Kimbunga Hidaya
MWANDISHI WETUBODI ya Ligi Tanzania (TPLB) imesema imechukua tahadhari muhimu juu ya tishio la kimbunga kinachoendelea kinachojulikana kwa jina la Hidaya. Ofisa Habari wa TPLB, Karim Boimanda amesema kufuatia taarifa ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) juu ya tishio la kimbunga hicho kwa upande wao wamechukua hatua kuhakikisha mechi zinazoendelea zinachezwa kwa usalama…