Singida FG, Dodoma vita ya kukwepa playoff, Ngawina asaka ushindi wa kwanza
KESHO Singida Fountain Gate itaialika Dodoma Jiji katika mchezo wa Ligi Kuu Bara kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, jijini hapa kuanzia saa 10:00 jioni, huku timu hizo zikipambana kumaliza katika nafasi nzuri kwenye ligi hiyo na kukwepa mechi za mtoano (Playoffs). Singida Fountain Gate ambayo haijashinda mchezo wa ligi hiyo tangu Machi 16, mwaka huu…