LIVE: Tazama kimbunga Hidaya kinavyoikaribia Tanzania
Kupitia tovuti ya Zoom Earth, Mwananchi Digital imewekea ‘link’ ya kutazama mubashara kimbunga hicho.
Kupitia tovuti ya Zoom Earth, Mwananchi Digital imewekea ‘link’ ya kutazama mubashara kimbunga hicho.
MFANYAKAZI wa Benki ya CRDB, Ibrahim Masahi (40) ameieleza mahakama kuwa tangu mwaka 2016 hadi sasa hana mahusiano mazuri na jirani yake Deogratus Minja ndiyo maana amemsingizia kuwa amemjeruhi kwa kumpiga kutokana na hila zake. Masahi anatuhumiwa Januari 11, 2023 akiwa eneo la Mbezi Msakuzi ndani ya Wilaya ya Ubungo mkoani Dar es Salaam alimpiga…
BAADA ya kuondoka kwa Abdelhak Benchikha, timu ya Simba fasta imeanza mchakato wa kutafuta kocha mpya atakayerithi mikoba ya Mualgeria huyo ikipanga kukamilisha ishu hiyo kabla ya msimu huu kumalizika Mei 28, 2024. Kocha wa TP Mazembe, Lamine Ndiaye Mabosi wa Simba walikaa kikao baada ya kuondoka kwa Benchikha aliyesepa na wasaidizi wake Farid Zemit…
Mvua kubwa za El-Nino zilizonyesha zimeleta athari maeneo mbalimbali hapa Nchini ikiwemo katika Mkoa wa Lindi ambapo zimesababisha uharifu mkubwa wa miundombinu ya barabara na madaraja. Mvua hizo katika baadhi ya maeneo zilikwamisha shughuli za maendeleo ya Wananchi, na hivyo kuifanya Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) kufanya kila linalowezekana kurejesha mawasiliano ya barabara…
Serikali ya Israel imefahamisha hivi leo kuwa mateka huyo ambaye ni sehemu ya wengine zaidi ya 130 wanaoshikiliwa na kundi la Hamas katika Ukanda wa Gaza amekufa kama makumi ya wengine waliotekwa nyara wakati wa shambulio la Oktoba 7. Serikali mjini Tel-Aviv imetoa taarifa hiyo jana jioni kwenye mtandao wao wa kijamii wa X (zamani…
Iringa. Ufugaji wa samaki kwenye vijiji vya Kata ya Kiponzelo, wilayani Iringa umeanza kutumika kama njia ya kupambana na tatizo la udumavu ambalo limekuwa mwiba kwa watoto wengi hasa wenye umri chini ya miaka mitano. Kulingana na utafiti wa hali ya afya ya uzazi ya mama na mtoto na maralia wa mwaka 2021, asilimia 50.4…
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akikabidhiwa Kitabu cha Safari ya Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Picha na Balozi wa Tanzania nchini Italia ambaye ni mmoja wa Waandaaji wa Kitabu hicho Mhe. Mahmoud Thabit Kombo. Makabidhiano hayo yamefanyika OfisiNI kwa Makamu wa Rais mkoani…
UONGOZI wa Klabu ya Yanga umethibitisha kupokea ofa kutoka katika timu za Ulaya ambazo zinataka kumnunua mshambuliaji Clement Mzize. Ingawa hakuwa tayari kuzitaja timu ambazo zinamtaka mchezaji huyo, lakini Ofisa Habari wa Yanga, Ally Kamwe amesema mbali na Azam FC wamepokea ofa kutoka timu ambayo inashiriki Ligi Kuu Russia na nyingine ya Israel. “Ni kweli…
Wananchi wa Tabata Kisukuru Banebane mtaa wa Tutu, wilaya ya Ilala Jijini Dar es Salaam wameiomba Serikali chini ya Rais Samia Suluhu Hassan iwasaidie makazi kufatia tukio la kuporomoka kwa Nyumba zaidi ya 10 zilizopakana na njia ya maji ya bonde la mto msimbazi iliyopita Tabata Kisukuru. Akizungumza leo mbele ya Waandishi wa Habari Jijini…
WALIOKUWA wafanyakazi wa mgodi wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) unaochimba makaa ya mawe katika kijiji cha Kapeta Kata ya Ikinga wilayani Ileje mkoani Songwe, wamemuomba uongozi wa kata hiyo kuwakumbusha STAMICO iwalipe fedha zao zaidi ya moja bilioni ambazo ni malimbikizo ya mishahara Anaripoti Ibrahim Yassin, Songwe… (endelea). Awali katika kipindi cha miaka…