DORIS MOLLEL WAIPONGEZA SERIKALI KUKUBALI KUONGEZA LIKIZO KWA WANAOJIFUNGUA WATOTO NJITI – MWANAHARAKATI MZALENDO
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM TAASISI ya Doris Mollel imeipongeza Serikali kwa kukubali ombi la kuongeza siku za likizo kwa wanawake wanaojifungua watoto njiti nchini ili kulinda afya ya mama na mtoto ambapo huamuzi huo ulitangazwa na Makamu wa Rais Dkt. Philipo Mpango katika sherehe za Mei Mosi Jijini Arusha. Akizungumza na…