Baba jela miaka 30 kwa kumpondaponda nyeti mtoto wa kufikia
Morogoro. Mahakahama ya Hakimu Mkazi Morogoro imemuhukumu kifungo cha miaka 30 jela Mohamed Omary Salange (37), baada ya kumkuta na hatia katika kosa la ukatili dhidi ya mtoto wake wa kufikia, mwenye umri wa miaka tisa. Akisoma hukumu hiyo jana Alhamisi Mei 2, 2024 Hakimu Mkazi Mwandamizi Lameck Mwamkoa alisema kuwa mahakama hiyo baada ya…