Serikali kuendesha msako utitiri vyama vya kitaaluma
Arusha. Serikali imeonyesha kukerwa na utitiri wa vyama vya kitaaluma vilivyopo nchini kwa sasa na kuagiza uchunguzi wa kina. Agizo hilo limetolewa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene akimtaka Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Juma Mkomi kuunda kikosi kazi cha kuchunguza. Simbachawene ameyasema hayo…