NMB yang’ara maonesho OSHA
Benki ya NMB imebeba tuzo ya kampuni bora kwenye sekta ya fedha na bima kama mshindi wa pili (first runner up) katika tuzo zilizotolewa na Wakala wa Usalama na Afya Mahala pa Kazi (OSHA) wakati wa kufunga Wiki ya Maadhimisho ya Kimataifa ya Usalama na Afya Mahali pa Kazi 2024 yaliyofanyika jijini Arusha. Anaripoti Mwandishi…