Namna lugha inavyoweza kuathiri biashara ya huduma za kifedha
Kiswahili ni lugha kuu inayotumika na Watanzania wengi wanaotumia huduma rasmi za kifedha nchini. Taarifa za Ripoti ya Utafiti wa Maoni ya Watumiaji wa Huduma za Kifedha nchini (Finscope,2023), inaonesha asilimia 79 ya watu nchini wanatumia Kiswahili kama lugha ya kuwasiliana katika kupata huduma hizo. Katika utoaji huduma matumizi ya lugha ni jambo muhimu linaloweza…