Admin

Pacome afunga bandeji goti aliloumia

LICHA ya kuonekana kuwa fiti kwa ajili ya mchezo wa robo fainali ya kombe la shirikisho (FA), kiungo wa Yanga, Pacome Zouzoua ameonakana akiwa amefunga bandeji ya bluu kwenye goti aliloumia zaidi ya mwezi mmoja uliopita. Pacome aliumia Machi 17 katika mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Azam FC ambao Yanga ilipoteza kwa mabao 2-1….

Read More

Mshairi nguli Amiri Andanenga afariki dunia, azikwa

Dar es Salaam. Mwanasheria na mwandishi wa vitabu vya riwaya za fasihi za Kiswahili na Kiingereza, Charles Mroka amemuelezea hayati Amir Andanenga kama mtu aliyekuwa na kipaji cha kutunga mashairi. Andanenga aliyekuwa mwanafasihi nguli na mwasisi wa Chama cha Usanifu wa Kiswahili na Ushairi Tanzania (Ukuta) amefariki usiku wa kuamkia leo Mei Mosi, 2024, katika…

Read More

MABALOZI WA NCHI ZA JUMUIA YA ULAYA WAITEMBELEA SUA.

Mabalozi wa nchi za umoja wa Ulaya wamaitembelea Chuo Kikuu Cha Sokoine Cha Kilimo SUA, Kampasi ya Edward Moringe, ili kujionea miradi mbalimbali inayoendelea Chuoni hapo kwa ufadhili wa nchi wanachama wa Jumuia hiyo. Mabalozi hao wakiongozwa na Balozi wa Jumuia ya Ulaya na Jumuia ya Afrika Mashariki Mhe.Christine Grau, wamepokewa Chuoni hapo na Naibu…

Read More

Simba, Azam vitani tena kunasa saini ya kiungo fundi

JINA la kiungo Najimu Musa lipo mezani kwa timu za Simba, Azam na KMC huku kila timu ikihitaji saini ya mchezaji huyo kwa msimu ujao. Kiungo huyo mzawa anayekipiga Tabora United ni miongoni mwa wachezaji waliomvutia kocha aliyeondoka Simba, Abdelhack Benchikha na kuwaeleza viongozi wa timu hiyo kumsajili kwaajili ya msimu ujao kwani anaamini angeongeza…

Read More

Uingereza yathibitisha kuwazuia wahamiaji – DW – 01.05.2024

Haya yanajiri huku mmoja akiripotiwa kujipeleka kwa hiari Rwanda kutoka Uingereza.  Kamata kamata ya wahamiaji inajiri wiki moja baada ya wabunge kumaliza mvutano uliokuwepo bungeni na kupitisha sheria hiyo baada ya kutangaza kuwa Rwanda ni nchi salama. Waziri Mkuu wa Uingereza Rishi Sunak, aliapa kuwazuia wahamiaji kuingia Ulaya kupitia njia za baharini, na wiki iliyopita…

Read More

Bibi adaiwa kumfanyia ukatili mjukuu wake wa miaka minane

Moshi. Mtoto wa darasa la kwanza katika Shule ya Msingi Himo, Glory Felician (8) ameokolewa na wanaharakati kufuatia vitendo vya ukatili anavyofanyiwa na bibi yake anayeishi naye katika mji mdogo wa Himo. Mtoto huyo ambaye ni mwenyeji wa wilaya ya Mbulu mkoani Manyara, amekuwa akikatwa na kitu chenye ncha kali kinachodhaniwa kuwa ni wembe sehemu…

Read More

TBC WATATOA FURSA SAWA KWENYE UCHAGUZI-TCRA

Na Derek MURUSURI, Dodoma SHIRIKA la Utangazaji Tanzania litaendelea kutoa fursa sawa kutangaza kampeni za vyama vyote vitakavyoshiriki uchaguzi wa mwaka huu na mwaka 2025. “Katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020, TBC ilifuata ratiba ya kampeni ya vyama vya siasa, na kwingine TBC walifika na vyama vyenyewe havikufika,” alisema Mhandisi Andrew Kisaka, Meneja wa Kitengo…

Read More