SERIKALI YAPOKEA USHAURI WA TUCTA KUIWEZESHA TUME YA USULUHISHI NA UAMUZI CMA
Serikali imesema imepokea ushauri wa Shirikisho la vyama vya wafanyakazi Tanzania TUCTA, la kuiwezesha Tume ya Usuluhishi na Uamuzi CMA kwa kuipatia vitendea kazi pamoja na kuongeza idadi ya Wasuluhishi na Waamuzi ili kuboresha huduma zake. Ameyasema hayo makamu wa Rais Mhe. Dkt. Isdori Mpango wakati akijibu hoja za hotuba iliyowasilishwa Shirikisho la vyama vya…