Changamoto tisa wafanyakazi wakiadhimisha Mei Mosi
Dar es Salaam. Katikati ya sherehe ya Siku ya Wafanyakazi Duniani ‘Mei Mosi’ Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (Tucta) limetaja mambo tisa yanayowasibu wafanyakazi nchini na kupendekeza utatuzi wake. Miongoni mwa mambo hayo ni kupandishwa kwa mishahara, usuluhishi wa migogoro, ajira za mikataba, likizo ya uzazi kwa wanawake na marekebisho katika kikokotoo. Katika sherehe…