Admin

Mvua zinavyowaumbua viongozi, wataalamu nchini

Nchi ipo masika. Mvua zinazonyesha zinatoa ujumbe unaoingia ndani zaidi. Tanzania haina uwezo wa kuhimili mvua mfululizo. Kadiri miaka inavyosogea, ndivyo picha mbaya zaidi inajitengeneza kuhusu usalama wa nchi. Dar es Salaam leo, miundombinu ni mibovu. Zile hadithi kuwa watu wanaoishi mabondeni ndiyo hawapo salama, tafsiri inahama. Sasa, Dar es Salaam kila sehemu ni bondeni….

Read More