Oryx gesi yagawa mitungi, majiko 100 kwa waandishi wa habari Dar
KAMPUNI ya Oryx Gesi Tanzania imegawa mitungi 100 ya gesi ya kilo 15 pamoja na majiko yake yenye sahani mbili kwa wahariri na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali ikiwa ni sehemu ya mpango wake wa kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Akizungumza leo 30 Aprili 2024 katika…