Serikali, kampuni za simu wabanwa kuzima intaneti
Dar es Salaam. Hatua ya Serikali kuzima Intaneti kwa siku saba kuanzia Oktoba 29, 2025 inazidi kupingwa baada ya Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) na wanaharakati wamefungua kesi ya kikatiba Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam. Hii inakuwa kesi ya pili baada ile iliyofunguliwa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC)…