JIWE LA SIKU: Wauaji wapya watatu tu Simba itatisha Afrika
SIMBA ndiyo timu pekee ya Ligi Kuu Bara ambayo ina taji lolote hadi sasa msimu huu, japo ukimweleza hilo shabiki wa Wekundu wa Msimbazi atakuona kama unamkebehi. Lakini huo ndio ukweli. Ila kwanini wengi wanauchukulia poa? Ni kwa sababu wanasahau ukweli mzito kwamba Simba imetwaa mataji hayo mawili – Ngao ya Jamii na Kombe la…