MAMIA YA WAFANYAKAZI KAMPUNI YA MATI SUPER BRANDS LIMITED WASHIRIKI MEI MOSI MANYARA .
Ferdinand Shayo ,Manyara . Mamia ya Wafanyakazi wa Kampuni ya kuzalisha vinywaji changamshi ya Mati Super Brands Limited wameshiriki maadhimisho ya siku ya Wafanyakazi ya Mei Mosi yaliyofanyika kimkoa Katika Viwanja vya Tanzanite Kwaraa Wilayani Babati Mkoani Manyara na kupambwa na msafara mrefu wa magari ya kusambaza vinywaji kutoka kwenye kampuni hiyo. Mkurugenzi…