SIO ZENGWE: Ndio Kombe la Muungano, lakini si la kukurupushana
TANGU kuungana kwa Tanganyika na Zanzibar, michezo imekuwa ni moja ya shughuli muhimu zinazochochea kuimarika kwa Muungano kwa kukutanisha wananchi wa pande zote mbili na kuwashindanisha. Mara zote michezo ni undugu na hutumika pia kujenga urafiki, achilia mbali faida nyingine kama za kujenga afya ya mwili na kutoa ajira kwa vijana na watu wa umri…