Yanga yafanya uamuzi mgumu kwa Lomalisa, Kibabage
UONGOZI wa klabu ya Yanga umefanya uamuzi mgumu kwa nyota wake wawili wa nafasi ya ulinzi ya beki ya kushoto, Joyce Lomalisa Mutambala na Nickson Kibabage kwa kumbakisha kikosini staa huyo wa zamani wa Mtibwa Sugar ambaye anacheza kwa mkopo kutokea Singida Fountain Gate akichukua nafasi ya Mcongo huyo anayetimka mwisho wa msimu. Kibabage alikuwa…