BASSFU YATUA MKUNAZISAMAKI KUSIKILIZA WANANCHI
Na Rahma Khamis Maelezo 29/4/2024. Wananchi wa Shehia ya Kisauni na Muungani wameliomba Baraza la Sanaa, Sensa ya Filamu na Utamaduni (BASFU) kuichunguza kwa makini Baa ya Oxygen iliopo Mkunazisamaki ili kuondosha matatizo yanayojitokeza katika shehia hizo. Wakitoa malalamiko katika mkutano, ulioandaliwa na BASFU kwa ajili ya kusikiliza malalamiko ya wananchi wamesema Baa hiyo inapigwa…