ACT Wazalendo wasisitiza kushushwa gharama za maisha
Moshi. Chama cha ACT Wazalendo kimeitaja hali ngumu ya kiuchumi miongoni mwa mambo manne ambayo kimesema bado ni changamoto kwa Watanzania. Pamoja na hilo, ambalo kimetaka lifanyiwe kazi, pia kimesema lipo tatizo la ajira, kikokotoo cha pensheni ya wastaafu, na kukosa uhakika wa huduma bora za afya. Hayo yalielezwa jana na Kiongozi wa Chama hicho,…