Rais wa Namibia Nangolo Mbamba Atembelea Ofisi za Mabibo jijini Dar es Salaam
Na Mwandishi Wetu RAIS wa Namibia Mhe. Nangolo Mbumba ambaye yuko Nchini Tanzania kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dr. Samia Suluhu Hassan jana 25.04.2024 alitembelea Kampuni ya Mabibo Beer Wines and Spirits Ltd ambao ni waagizaji na wasambazaji halali wa Bia za Windhoek nchini Tanzania. Akiwa Ofisi za Mabibo…