TIGO YAKABIDHI MILIONI 10 KWA MSHINDI ‘SOKA LA AFRIKA LIMEITIKA’ SHINYANGA
Kampuni ya TIGO Tanzania imekabidhi zawadi ya hundi yenye thamani ya shilingi milioni kumi kwa mshindi wa shindano la ‘Soka la AFRIKA limeitika’ kupitia kampeni ya Afcon 2023 iliyoendeshwa na kampuni hiyo ambapo Bw. Raphael Songelaeli mkazi wa Shinyanga ameibuka mshindi na kujinyakulia kitita hicho cha fedha. Zawadi hiyo imekabidhiwa leo April…