Bilioni 19.7 kubadili Uwanja wa Uhuru
SERIKALI kupitia Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo umesaini mkataba na Kampuni ya Railway Construction Engineering Group (CRCEG) kutoka China, kwa ajili ya ukarabati wa Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Mkataba huo una thamani ya Sh19.7 bilioni kabla ya VAT huku ukarabati ukitarajiwa kuchukua takriban miezi 12 ili kukamilika. Akizungumza katika hafla ya kusaini…