Nyota JKT afichua balaa la Aucho Yanga
Nyota wa JKT Tanzania, Hassan Kapalata amesema haikuwa rahisi kupambana na kiungo wa Yanga, Khalid Aucho katika mchezo wa Ligi Kuu Bara baina ya timu hizo uliopigwa juzi kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo na kumalizika kwa suluhu. Akizungumza na Mwanaspoti, Kapalata alisema ubora mkubwa kwa Yanga uko kwenye eneo la kiungo na Aucho ndiye…