ECOPEACE WOMEN INITIATIVE YA SHINYANGA YAPATA MSAADA KUTOKA NVeP KWA UFADHILI WA BARRICK
Mwakilishi wa shirika la Ecopeace Women Initiative, Anastazia Magembe katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa Barrick katika hafla ya kupokea msaada wa dola za Kimarekani 10,000 ambao taasisi hiyo imepatiwa na Taasisi ya kimataifa ya Nos Vies en Partage (NVeP) kwa kushirikiana na Barrick katika hafla iliyofanyika katika mgodi wa Bulyanhulu uliopo…