VUNADEILE KUSHIRIKIANA NA SERIKALI KUWAWEZESHA VIJANA KUJIKWAMUA KIUCHUMI
Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Kampuni ya Tree Oceans Ltd . Inayojishughulisha na uendeshaji wa mchezo wa kubashili wa VUNADEILE Naseem Allan (katikati), akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi zawadi mbalimbali kwa washindi waliojishindia kwenye mchezo wa VUNADEILE kulia ni Mratibu kutoka BBT Vumilia Zikankura hafla yakukabidhi zawadi hizo umefanyika jijini Dar…