Kipigo cha 6-0 chailiza Bilo Queens
BAADA ya kukubali kichapo cha mabao 6-0 kutoka kwa JKT Queens, kocha wa Bilo Queens, Ibrahim Humba, amesema ugeni wa Ligi Kuu na uzoefu mdogo wa mashindano ni kati ya sababu zilizowaangusha. Bilo Queens ni kati ya timu nne zilizopanda daraja kucheza Ligi Kuu ya Wanawake msimu huu baada ya kufanya vizuri kwenye mashindano ya…