Chama la kina Lunyamila linakwama hapa
CHAMA la Watanzania wawili, Julietha Singano na Enekia Kasonga ‘Lunyamila’ wanaokipiga FC Juarez inayoshiriki Ligi ya Wanawake Mexico bado lina changamoto kwenye eneo la ushambuliaji. FC Juarez iko nafasi ya nane kwenye msimamo wa ligi hiyo yenye timu 18, kwenye mechi 17 imeshinda saba, sare sita na kupoteza nne ikifunga mabao 24 na kuruhusu 27….