Admin

Ripoti zabaini kasoro tano uhamaji Ngorongoro

Dar/Dodoma. Wakati tume zilizoundwa na Rais Samia Suluhu Hassan zikibainisha sababu za kukwama kwa mpango wa kuwahamisha wakazi wa ndani ya Hifadhi ya Ngorongoro, Serikali imesema itaendelea na mpango huo lakini kwa mfumo mpya unaosisitiza hiari ya wananchi, ushirikishwaji mpana wa jamii na marekebisho ya kasoro zilizojitokeza awali. Hayo yamebainishwa leo Alhamisi Machi 12, 2026…

Read More

Urasimu, tozo za kero kwenye taasisi za umma, mashirika kumulikwa

Dodoma. Serikali imetangaza mchakato wa kupitia upya mashirika na taasisi za umma zinazohusika na udhibiti na usimamizi wa shughuli za kibiashara. Lengo la Serikali ni kupunguza urasimu unaosababishwa na kanuni na tozo zisizo za lazima, zinazokwamisha ukuaji wa biashara nchini. Mpango huu pia unalenga kuondoa urasimu unaochangia kuchelewesha uwekezaji na kupunguza tija katika sekta ya…

Read More

Mtakwimu aonya matumizi mifumo ya akili unde

Dodoma. Zaidi ya vijana 713 na wasimamizi 69 wamepata ajira za muda katika Ofisi ya Taifa ya Takwimu, huku wakionyeshwa onyo la kutotumia mifumo ya akili unde (AI) kupika takwimu kwa kuwa shughuli zao zinafuatiliwa katika kila hatua. Onyo hilo limetolewa jana jioni Machi 11, 2026 na Mtakwimu Mkuu wa Serikali, Amina Msengwa, wakati akizungumza…

Read More

SIASA ZA ULIMWENGU ZINAATHIRI NCHI ZA SADC

::::::: Hali ya sasa ya siasa za ulimwengu na vita zinazoendelea Mashariki ya kati, imesababisha madhara makubwa ulimwenguni ikiwemo kwa nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), na huo ni ujumbe tosha kwa nchi zetu kuchukua hatua Madhubuti za pamoja kujinasua. Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri la SADC ambaye…

Read More