Mbarali kutenga Sh1 bilioni kuboresha maeneo korofi
Mbarali. Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Mkoa wa Mbeya, inatarajia kutumia zaidi ya Sh1 bilioni kwa ajili ya kuboresha maeneo korofi ya miundombinu barabara za pembezoni . Katika hatua nyingine imeweka mikakati ya kutenga bajeti ya mapato ya ndani kwa mwaka huu wa fedha kwa lengo la kununua mtambo wa kisasa wa kuchonga na kuboresha…