Mwabudu Mungu aliyethibitika upate kuwa na amani maishani
Dar es Salaam. Bwana Yesu asifiwe. Karibu katika somo la mahubiri leo Jumapili. Hili ni somo litakalokufanya usimame vyema katika kumwabudu huyu Mungu wa kweli, anayesema, “Mimi Niko ambaye Niko” Yehova ndilo jina lake. Ninaitwa Hosea Gambo, mtumishi wa huyu Mungu ninapatikana Kanisa la HRCC TAG Haydom, Mbulu mkoani Manyara. 1 Fal 18:36-37 “Ikawa, wakati…