Airtel Tanzania yazindua Maduka 17 ya Smart Shops Dar es Salaam, kukuza Huduma za Kidijitali
Airtel Tanzania, kampuni inayoongoza huduma za mawasiliano nchini, imezindua maduka mapya 17 ya Airtel Smart Shops jijini Dar es Salaam. Maduka haya ni sehemu ya mtandao wa maduka 31 nchini kote, ukiwa na lengo la kupanua huduma za kidijitali na kuongeza ujumuishaji wa kifedha kwa wananchi. Uzinduzi huo uliofanyika Machi 12, 2026, ulihudhuriwa na Mhe. Angellah…