
Watanzania wahimizwa kuwekeza UTT Amis wavune faida
Dar es Salaam. Uwekezaji katika mifuko ya uwekezaji ya taasisi ya Serikali inayosimamia na kuendeleza mifuko ya uwekezaji wa pamoja UTT Amis umetajwa kuwa bora, hakika na salama zaidi huku ukiwa na utajiri wa faida ya mtaji. Hayo yamebainishwa leo Alhamisi ya Septemba 4, 2025 wakati wa mjadala wa Mwananchi Space ulioandaliwa na Mwananchi Communications…