Singida yaingia mazima kwa Lanso
BAADA ya Singida Black Stars kumrudisha Joseph Guede aliyekuwa anaichezea Al-Wehdat SC ya Jordan kwa mkopo, kwa sasa inaelezwa mabosi wa kikosi hicho wamemalizana na beki wa kulia wa KMC, Abdallah Said Ali ‘Lanso’. Guede aliyejiunga na Singida Julai 2024, akitokea Yanga, aliitumikia timu hiyo kwa miezi sita, kisha kujiunga na Al-Wehdat ya Jordan kwa…