TRA yapanua wigo wa kodi kuzuia magendo na ukwepaji kodi
Dar es Salaam. Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Mwenda, amesema wamejipanga kuongeza wigo wa kodi kwa kuzuia ukwepaji kodi na magendo. Amesema hayo Desemba 12, 2025, alipofanya mkutano na mawakala wa forodha na washauri wa kodi Jijini Dar es Salaam, ili kubaini changamoto wanazokabiliana nazo na kuzitafutia ufumbuzi. Hili linaelezwa wakati…