Admin

Familia, Zungu wamueleze Jenista Mhagama

Dar es Salaam. Mtoto wa marehemu, Victor Mhagama, amesema wakati wengine wakimuita Jenista Mhagama kiongozi, wao walimuita mama na katekista kwa sababu alikuwa mwalimu wa dini nyumbani. “Tulimpenda sana mama, tuliishi naye kwa karibu na upendo naye aliunganisha sana familia yetu,” amesema Mhagama. Ametoa kauli hiyo wakati akitoa neno la familia katika ibada ya kuaga…

Read More

Bingwa Mapinduzi Cup 2026 kulamba Sh150 milioni

KLABU nane zitashiriki Kombe la Mapinduzi 2026, baada ya msimu uliopita mashindano hayo kushirikisha timu za taifa na Zanzibar Heroes kuwa bingwa ilipoichapa Burkina Faso mabao 2-1, kwenye Uwanja wa Gombani, Pemba. Mashindano hayo yaliyopangwa kuanza Desemba 28, 2025 na kumaliza Januari 13, 2026 kwenye Uwanja wa New Amaan Complex uliopo Unguja, bingwa atakabidhiwa Sh150…

Read More

WAZIRI SANGU: MFUMO e-UTATUZI MAFANIKIO MAKUBWA CMA

Na: Ofisi ya Waziri Mkuu – KAM WAZIRI  wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano, Mhe. Deus Sangu, ameipongeza Tume ya Usuluhishi na Uamuzi (CMA) kwa mafanikio makubwa katika utatuzi wa migogoro ya kikazi, baada ya kusuluhisha migogoro 4,339 hadi kufikia Septemba 2025. Waziri Sangu ametoa pongezi hizo Desemba 13, 2025,…

Read More

Bunge lataja sababu za kifo cha Jenista Mhagama

Dar es Salaam. Maradhi ya moyo umetajwa kuwa ndiyo chanzo cha kifo cha aliyekuwa mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama ambaye alifariki dunia wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Benjamin Mkapa Dodoma. Hayo yamebainishwa na Katibu wa Bunge, Baraka Leornad leo Jumamosi Desemba 13, 2025 wakati akisoma wasifu wa marehemu Jenista, baada ya ibada ya misa…

Read More