WAZIRI SANGU: MFUMO e-UTATUZI MAFANIKIO MAKUBWA CMA
Na: Ofisi ya Waziri Mkuu – KAM WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano, Mhe. Deus Sangu, ameipongeza Tume ya Usuluhishi na Uamuzi (CMA) kwa mafanikio makubwa katika utatuzi wa migogoro ya kikazi, baada ya kusuluhisha migogoro 4,339 hadi kufikia Septemba 2025. Waziri Sangu ametoa pongezi hizo Desemba 13, 2025,…