Admin

Bandari, Planet kinapigwa fainali ya pili

JOTO la fainali ya pili ya Dunda Swish Tournament linazidi kuzikumba timu za Bandari Mwanza na Bugando Planet. Fainali hiyo itafanyika Machi 15, 2026 katika Uwanja wa Mirongo mjini Mwanza, ikitanguliwa na mchezo wa fainali ya wanawake kati ya Eagle Queens na Court Queens. Nyota wa Bandari Mwanza, Alphonce Kasekwa alisema timu yake imekuwa ikirekebisha…

Read More

Hili ndilo soko la mafuta na bei zinapangwa hivi

Vita inayoendelea katika ghuba ya Uajemi tayari vimesababisha bei ya bidhaa muhimu ya mafuta kuongezeka, na ikiwa vita hiyo itaendelea ni dhahiri dunia inaweza kuangukia kwenye mgogoro wa kiuchumi unaosababishwa aidha uhaba wa mafuta au kupanda kwa gharama za maisha kutokana mfumuko wa bei na kuongezeka gharama za uzalishaji. Mafuta ndicho chanzo kikuu cha nishati…

Read More

Mzawa aja na jukwaa la suluhu kwa wabunifu na wasaka ajira

Suala la ukosefu wa ajira rasmi limekuwa likiumiza kichwa wengi, kuanzia kwa watu binafsi hata Serikali, lakini sasa Kwanzahub imekuja na suluhu ambalo hata kama sio la kumaliza tatizo lakini walau kupunguza na kuonyeshwa njia ya kutatua tatizo hilo. Suluhu hiyo inahusisha kutoa jukwaa la vijana kuonyesha mawazo yao ya kibunifu, kuyelea, kuyauza lakini ni…

Read More

Ripoti yabainisha pengo uchimbaji endelevu Bulyanhulu, Barrick yajibu

Ripoti mpya ya utafiti imeibua taswira ya pande mbili katika sekta ya madini nchini, ikionesha mafanikio ya uwekezaji na uwajibikaji wa kampuni, lakini pia ikifichua mapengo ya ushirikishwaji wa jamii, uwazi wa taarifa na mifumo ya kushughulikia malalamiko. Ripoti hiyo iliyoandaliwa na HakiRasilimali kwa kutumia viwango vya kimataifa vya Towards Sustainable Mining (TSM), imechambua hali…

Read More

MWENYEKITI WA KAMATI YA TEITI APONGEZA MGODI WA DHAHABU WA GEITA KWA KUTEKELEZA SHERIA NA MIRADI YA CSR

📍*Geita.* Mwenyekiti wa Kamati ya TEITI, Balozi Wilson Masilingi, ametembelea Mgodi wa Dhahabu wa Geita Gold Mining Limited akiambatana na Menejimenti ya TEITI, kwa lengo la kujitambulisha na kufanya mazungumzo na menejimenti ya mgodi huo. Akizungumza wakati wa ziara hiyo, Balozi Masilingi alisema ziara hiyo imelenga kujenga na kuimarisha ushirikiano kati ya TEITI na wadau…

Read More

MAKAMU WA RAIS DKT.NCHIMBI AWASIHI VIONGOZI WA DINI. NA WATANZANIA KUIOMBEA NCHI,VIONGOZI WA SERIKALI NA VYAMA VYA SIASA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewasihi Viongozi wa dini na Watanzania kwa ujumla kutumia mwezi wa toba wa Ramadhani na Kwaresma kuiombea Nchi, Viongozi wa Serikali na Vyama vya Siasa ili kujenga nchi moja yenye upendo na mshikamano. Makamu wa Rais, amesema hayo mara baada ya kushiriki…

Read More

Anguko la biashara za familia liko hapa

Biashara za familia ni sehemu muhimu sana ya uchumi katika nchi nyingi duniani, na Tanzania pia ni miongoni mwa nchi hizo. Kuanzia maduka madogo ya rejareja, biashara za usafirishaji, kilimo, ujenzi hadi biashara za jumla, biashara nyingi nchini zinamilikiwa na kuendeshwa na familia. Biashara hizi hutoa ajira, huongeza kipato cha familia, na huchangia maendeleo ya…

Read More