AJIRA ZA UMMA SASA KWA UWAZI NA USHINDANI
Serikali imesisitiza kuwa itaendelea kusimamia mchakato wa upatikanaji wa ajira katika taasisi, idara na mashirika ya umma kwa uwazi, uwajibikaji na kuzingatia ushindani, kama inavyoelekezwa na sera ya ajira nchini. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora), Ridhiwani Kikwete, ametoa kauli hiyo leo wakati akizungumza na waandishi wa…