WAKALA WA VIPIMO TANZANIA NA ZAMBIA KUSHIRIKIANA KUSIMAMIA MATUMIZI SAHIHI YA VIPIMO
Lusaka, Zambia Taasisi za Wakala wa Vipimo kutoka nchini Tanzania (WMA) na Zambia (ZMA)zimesaini rasmi Mkataba wa kushirikiana katika usimamizi wa matumizi sahihi ya vipimo. Mkataba huo ni wa muda wa miaka mitatu (3) ambapo utekelezaji wake umeanza mara tu baada ya kusainiwa. Kusainiwa kwa Mkataba huo ni sehemu ya maono ya Viongozi wakuu wa…