Brayson: Mbinu zimetubeba JKT Tanzania
BEKI wa JKT Tanzania, David Bryson amekimwagia sifa kikosi cha timu hiyo kilichoanza kwa kasi kubwa msimu huu katika Ligi Kuu, huku akifichua kilichowabeba ni mbinu za kocha Ahmad Ally sambamba na wachezaji kutekeleza kila walichoelekezwa. Brayson aliwahi kuichezea Yanga na KMC kabla ya kutua JKT Tanzania ambayo ameitumikia kwa misimu miwili sasa. Beki huyo…