
Magereza Mbeya walivyofanikiwa kuacha kuni, mkaa
Mbeya. Jeshi la Magereza Mkoa wa Mbeya limesema tangu kuanza matumizi ya nishati safi, limepata unafuu wa kupunguza gharama, kuokoa muda na kutoa mwanga katika uhifadhi na utunzaji mazingira, huku likieleza mkakati wa kuwafikia wananchi kuondokana na nishati chafu ya kupikia. Mkuu wa Gereza la Ruanda Mbeya, Christopher Fungo anasema tangu mwaka jana, gereza hilo…