DC KASILDA AWACHARUKIA WACHIMBAJI WA MADINI YA JASI.
Na Mwandishi Wetu SAME. MKUU wa Wilaya ya Same, Kasilda Mgeni ametangaza msimamo mkali kuhusu uchimbaji wa madini ya jasi unaoendelea katika eneo la Makanya, akiagiza hatua za haraka zichukuliwe kwa kufukia mashimo yaliyotelekezwa ili kurejesha mazingira na kuimarisha usalama wa wananchi na mifugo. Kasilda ametoa maagizo hayo wakati wa ziara yake katika machimbo ya…