Admin

LHRC yafungua kesi EACJ kupinga kuzimwa kwa mtandao nchini

Na Pamela Mollel,Arusha Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimefungua Kesi Na. 56/2025 katika Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki kikilalamikia hatua ya Serikali ya Tanzania kuzima mtandao kuanzia Oktoba 29 hadi Novemba 4, 2025. Kwa mujibu wa mawakili wanaoiwakilisha LHRC, Wakili Peter Majanjara na Wakili Jebra Kambole, kuzimwa kwa mtandao kulitokea ghafla…

Read More