
Soud, Khatib kuchuana nafasi ya pili uchaguzi wa urais Zanzibar
Unguja. Mwenyekiti wa Chama cha Wakulima (AAFP) Taifa, Said Soud Said amesema hakuna chama kimoja kitaweza kukiondoa madarakani Chama Cha Mapinduzi (CCM), iwapo vyama vingine havitaungana na kuwa na nguvu moja. Soud ambaye pia ni mtiania urais kupitia chama hicho na tayari ameshachukua fomu ya kuomba uteuzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Zanzibar (Zec)…