Trump aanza ziara barani Asia, kukutana na rais wa China
Dar es Salaam. Rais wa Marekani, Donald Trump leo Jumapili Oktoba 26, 2025 amewasili nchini Malaysia ikiwa ni kituo chake cha kwanza katika ziara yake barani Asia. Ziara hiyo itahusisha mazungumzo muhimu ya biashara na Rais wa China, Xi Jinping nchini Korea Kusini katika siku ya mwisho, akilenga kufikia makubaliano ya kumaliza vita vya kibiashara….