
Simba Yamtambulisha Rasmi Wilson Nangu Kutoka JKT – Global Publishers
Klabu ya Simba imeendelea kuimarisha kikosi chake kuelekea msimu mpya wa Ligi Kuu ya NBC na michuano ya kimataifa kwa kutambulisha rasmi usajili wa beki wa kati Wilson Nangu akitokea klabu ya JKT Tanzania. Nangu, ambaye pia ni mchezaji wa timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars), amekuwa akitajwa muda mrefu kuhitajika…