
Wananchi Tunduma Wamthibitishia Dkt. Samia Ushindi Mkubwa Oktoba 29 – Video – Global Publishers
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameendelea na kampeni zake akiwa mkoani Songwe ambapo alikutana na maelfu ya wananchi wa Tunduma. Akiwa jukwaani, Dkt. Samia aliwaomba Watanzania kushiriki uchaguzi kwa wingi na kuhakikisha wanakipigia kura ya ndiyo Chama Cha Mapinduzi…